Friday, August 29, 2008

Harusi ya kaimu Mkurugenzi wa Business Times Ltd Aga Mbuguni

Wadau ehe!! caption inasumbua tutumiane japo kwa comments..






Tuesday, August 5, 2008

Harusi ya Zuhura Waziri mwandihi wa Gazeti la Majira

Business Times na mambo ya ndoa hawako nyuma!
Mwandishi akipokea Busu la Nguvu, raha ya ndoa hiyooo!

Idadi ya wasio katika ndoa BT ikizidi kupungukiwa, wakati idadi ya wanaoingia ndoani ikizidi kuongezeka, Bi Zuhura Waziri mwandishi wa gazeti la Majira akipokea Busu mwanana kutoka kwa Bw Mussa Semkucha muda mfupi baada ya kufunga pingu za maisha nyumbani kwa wazazi
wa Bibi harusi Gongo la Mboto.