Business Times na mambo ya ndoa hawako nyuma!
Mwandishi akipokea Busu la Nguvu, raha ya ndoa hiyooo!
Mwandishi akipokea Busu la Nguvu, raha ya ndoa hiyooo!

Idadi ya wasio katika ndoa BT ikizidi kupungukiwa, wakati idadi ya wanaoingia ndoani ikizidi kuongezeka, Bi Zuhura Waziri mwandishi wa gazeti la Majira akipokea Busu mwanana kutoka kwa Bw Mussa Semkucha muda mfupi baada ya kufunga pingu za maisha nyumbani kwa wazazi wa Bibi harusi Gongo la Mboto.
No comments:
Post a Comment