Dah!! ni fully kolabo la 100.5 fm, wanajiita mguso wa jamii.. watu wangu wako ndani ya big screen hapo.. sijui walikuwa wanalonga nini kila mtu na kazi yake.. dah!!!!!!!!! wadau wangu ehe!! hili timu limekamilika ile mbaya... yani.. si DJ wala nani, hebu sikiliza tu utajua kikosi kinapiga shughuli.. kwa majina nawahifadhi.. wee watembelee tu ofisi zao hapo Lugoda utakipata kikosi kizima.. 
mtu mzima wawaonaje kinadada warembo hao.. mie sina la kusema hapo watu wangu.. si Mipasho si nini.. basi katika mahojiano ya hapa na pale watu wangu wamesema wanashuka na bonge la site wakidai ni funika bovu bongo.. liko linakujua kwenye in http://www.timesfm.co.tz hivi karibuni

2 comments:
Tunakupongeza sana sana Bwana Mushi kuanzisha hii kitu.. Kila siku hata sie tulikuwa tunawaza ni jinsi gani tunaweza kuwa na kumbukumbu kwa njia ya mtandao ... tunashukuru.. tunaomba basi tuitendee haki.. sio ianze vizuri halafu baadae tushindwe kuiendeleza.. vip tunaruhusiwa kukutumia mapicha uyaweke kwenye blog au
Ebwana ehe!! tunaweza kupata contact za hawa mabinti warembo hapo.. mmhh!! hebu tufanyie mambo mwanetu hata tu kakijimeseji sio mbaya kaka.. Namzimia sana huyo wa ------
Hao mabwana hapo juu uliwakamata wapi kaka.. wako kwenye bonge la screen.. alafu huyo jamaa its like hajawai kupiga picha bwana
Post a Comment