Dah!! mambo ya Kitchen party hayo wadau, mie sina la kusema hapo mmm!!!.. Judith akiwa na mpambe wake wa karibu sana Betty siku ya kitchen party.. huku wakisubiri kupewa vidonge vyao na kina mama walioandaliwa kwa shughuli hiyo...
"mmhh !!! wakisubiri kupokea vya kwao"
Na wadau wengine hawakuwa mbali na mambo kama haya.. Dah!!! Pozi hili jamani .. Kulia ni Rose na kushoto ni Winnie, kina dada mahiri fani ya utengenezaji wa kurasa za magazeti.. mmmhhhh!!! tunamaswali wengi huku wadau wenzenu juu ya ......Wadau warembo hao wamependeza.. mmhh!! Ndo mambo ya Send off party hayo.. Siku Judith alipo kuwa anaagwa rasmi na familia yao akiwa na mpambe Betty on the stage..

Ni fully sebene kwenda mbele wakati wa kwenda kumtunza bi harusi mtarajiwa Judith.. Watu wangu kwa kujiachia tu hatujambo.. Rose eheee!!!! hapo sasaaaa!!
UJIO WA WAZIRI WA JINSIA NA WATOTO MAMA SITTA KATIKA KAMPUNI YA BUSINESS TIMES
Waziri wa Jinsia na watoto Mama Sitta (katikati) akiongozana na afisa mtawala wa Kampuni ya BTL Sophia Mshangama kushoto pamoja na Bi. Kulwa na wadau wengine nyuma kuingia katika chumba cha habari katika ofisi hizo ili kuzungumza machache na wanawake hao pamoja na kukagua shughuli mbalimbali zifanyazo na wanawake hao.
Dah!!! Kina mama wanaweza wadau wangu.. Waziri wa Sitta akikagua kazi wadau wanawake wa BTL wanazo fanya... Hapo wadau wangu wanatengeneza page za gazeti huku mwanamama nyuma pale akiendelea na upaparazi na kamera yake.. Dah!!!!!!!!!!!!! ilikuwa ni fully kina mama siku hiyoSHEREHE FUPI YA KAMPUNI ILIYO ANDALIWA NA MAJIRA


No comments:
Post a Comment